Waombolezaji waliohudhuria kuuaga mwili wa marehemu.
Askari wa JWTZ wakiutelemsha mwili wa marehemu kutoka kwenye gari la Jeshi katika viwanja vya Lugalo.
Askari wakiwa wameubeba mwili wa marehemu baada ya kuwasili.
Askari wakiuweka mwili wa marehemu kwenye meza maalum kwenye viwanja vya Lugalo kwa ajili ya kuagwa.
Mnadhimu wa Jeshi hilo Luteni Genarali Samuel Ndomba akitoa salamu za rambirambi.
Viongozi wastaafu wa JWTZ waliohudhuria kuuaga mwili wa marehemu.
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Tiafa, Shamsi Vuai Nahodha akitoa heshima za mwisho kuuaga mwili wa marehemu.
Thursday, October 31, 2013
MWILI WA MAREHEMU LUTENI MLINDA JINSI ULIVYO AGWA KATIKA VIWANJA VYA LUGALO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment