Saturday, August 9, 2014
BASI LA KAMPUNI YA FIVE ALIANCE LATEKETEA KWA MOTO LIKITOKA MTWARA KWENDA DAR
Hili ni basi la kampuni ya 5 Aliance ambalo linafanya safari zake kati ya Mtwara na Dar es salaam limeungua leo asubuhi ya August 09 likitokea Mtwara kuelekea Dar es salaam. Taarifa ya awali inasema kuwa hakuna abiria aliyepata madhara yoyote juu ya kuungua kwa basi hili ambalo limeteketea kijiji cha Mihambwe mkoa wa Lindi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment