Waandamanaji wakiwa wamekusanyika kwenye moja ya uwanja mjni Mtwara mapema jana wakipinga gesi kusafirishwa kwenda jijini Dar!
Mmoja wa wakazi wa mji wa Mtwara mjini akiwa amebeba bango lake
Baadhi
ya askari wakiwa kwenye gari yao wakiangalia usalama wa hapa na pale
kufuati maandamano makubwa yalliyofanya na wakazi wa Mkoa wa Mtwara,
mapema jana wakipinga gesi kusafirishwa kwenda jijini Dar
No comments:
Post a Comment