Social Icons

HII

WASILIANA NASI KUPITIA. E-mail: ngambabakari@gmail.com., Namba ya simu +255 657 185 504 Pia waweza kutujuza kwa lolote linalo endelea sehemu uliyopo

kachumbari

kachumbari

Monday, July 21, 2014

BREAKING NEWS: MAITI NA VIUNGO VYA BINADAMU VYAKAMATWA NDANI YA MIFUKO BUNJU JIJINI DAR ES SALAAM USIKU HUU

 Mmoja ya Kiungo cha Mguu kikiwa kinaonekana usiku huu
 Baadhi ya Mifuko ambamo Maiti izo zilikuwa zimewekwa
 Moja ya kichwa cha Binadamu ambacho kimetolewa katika moja ya Mifuko hiyo
 Umati wa watu wakiwa wanashuhudia tukio hilo muda huu
 Watu zaidi wakiwa wanaongezeka katika eneo la Tukio

Mpaka tunaondoka eneo la Tukio Miili ilikuwa imechukuliwa na Jeshi la Polisi kwa Uchunguzi zaidi, Taarifa kamili italetwa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dar es salaam.

Endelea kufuatilia hapa.

PICHA ZOTE NA DAR ES SALAAM YETU BLOG

No comments:

Post a Comment