Social Icons

HII

WASILIANA NASI KUPITIA. E-mail: ngambabakari@gmail.com., Namba ya simu +255 657 185 504 Pia waweza kutujuza kwa lolote linalo endelea sehemu uliyopo

kachumbari

kachumbari

Monday, December 24, 2012

WATOTO WALIOZALIWA WAKIWA WAMEUNGANA HOSPITALI YA KIBENA, NJOMBE Dec 22 MWAKA HUU ...


Watoto mapacha waliozaliwa wakiwa wameungana disemba 22 mwaka huu katika Hospitali ya Kibena Njombe na kisha kufariki.
Watoto hao walizaliwa wakiwa na Jinsi ya kike huku wakitajwa kuwa wao ni
mapacha wa pili kuzaliwa kwa mama huyo aliyezaa mara nane.


Wataalamu wa Afya katika Hospitali ya Kibena wakishuhudia watoto hao ambao tayari wamesha fariki.

No comments:

Post a Comment