Social Icons

HII

WASILIANA NASI KUPITIA. E-mail: ngambabakari@gmail.com., Namba ya simu +255 657 185 504 Pia waweza kutujuza kwa lolote linalo endelea sehemu uliyopo

kachumbari

kachumbari

Monday, October 28, 2013

BASI LA ABIRIA AINA YA (COASTER ) LAPATA AJALI NA KUSABABISHA VIFO VYA WATU WATANO(5) NA MAJERUHI MPAKANI MWA MBOZI NA SONGWE MKOANI MBEYA...

Basi la abiria aina ya coaster lenye namba za usajili  T378ADR likiobnekana muda mchache baada ya kupata ajali.
 Basi la abiria aina ya coaster lenye namba za usajili  T378ADR  likiwa limeharibika vibaya mara baada ya kupata ajali hiyo
Kiatu cha Abiria kikiwa kimebaki baada ya ajali hiyo 
 Wakazi mbalimbali wa mpakani mwa Mbozi na Songwe wakishuhudia Ajali hiyo 
 Hapa Basi la abiria aina ya coaster lenye namba za usajili  T378ADR baada ya kupata ajali 
 Baadhi ya watu wakiangalia kama kutakuwa na watu wamebakia katika ajali hiyo 

 Usukani wa Dereva ukiwa umetoka mara baada ya ajali hiyo 
 Basi la abiria aina ya coaster lenye namba za usajili  T378ADR  linavyo onekana kwa mbele 

 Hivi ndivyo Basi la abiria aina ya coaster lenye namba za usajili  T378ADR lilivyo haribika 
 Wananchi Mbalimbali wakiwa wanashuhudia ajali hiyo na kutoa msaada 
 Mmoja ya Majeruhi baada ya kufikishwa hospitali.


*******
Habari kamili inakuja .. Endelelea kufuatilia hapa hapa ..

No comments:

Post a Comment