Social Icons

HII

WASILIANA NASI KUPITIA. E-mail: ngambabakari@gmail.com., Namba ya simu +255 657 185 504 Pia waweza kutujuza kwa lolote linalo endelea sehemu uliyopo

kachumbari

kachumbari

Friday, October 25, 2013

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AWASILI MKOANI KIGOMA KUZINDUA KIVUKO KIPYA CHA MV MALAGALASI

1Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na baadhi ya viongozi wa Mkoa wa Kigoma wakati walipokuwa wakimpokea kwenye Uwanja wa Ndege wa Kigoma jana mchana. Makamu amewasili mkoani Kigoma jana kwa ajili ya kuzindua Kivuko kipya cha Malagalasi katika Wilaya ya Uvinza leo. Picha na OMR
2Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifurahia burudani ya ngoma za asili kutoka kwa wakazi wa Mkoa wa Kigoma, wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kigoma jana mchana, kwa ajili ya kuzindua Kivuko kipya cha Mv Malagalasi kesho katika Wilaya ya Uvinza. Picha na OMR3Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifurahia burudani ya ngoma za asili na kumpongeza mmoja wa wasanii hao wakazi wa Mkoa wa Kigoma, wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kigoma jana mchana, kwa ajili ya kuzindua Kivuko kipya cha Mv Malagalasi leo katika Wilaya ya Uvinza. Picha na OMR4Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza baada ya kukabidhiwa ripoti ya Mkoa wa Kigoma jana mchana. Picha na OMR

No comments:

Post a Comment