Social Icons

HII

WASILIANA NASI KUPITIA. E-mail: ngambabakari@gmail.com., Namba ya simu +255 657 185 504 Pia waweza kutujuza kwa lolote linalo endelea sehemu uliyopo

kachumbari

kachumbari

Saturday, November 2, 2013

RAIS KIKWETE AREJEA LEO NCHINI AKITOKEA LONDON KWENYE MKUTANO WA KIMATAIFA WA SERIKALI UWAZI...


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Oktoba 2, 2013 akitokea London, Uingereza, alikohudhuria Mkutano wa Kimataifa wa Serikali Uwazi (Open Government Partneship Summit). Anayeongozana naye ni Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam ambaye pia ni Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhe. Mwatumu Mahiza.


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Oktoba 2, 2013 akitokea London, Uingereza, alikohudhuria Mkutano wa Kimataifa wa Serikali Uwazi (Open Government Partneship Summit), akiongozana na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilali aliyefika kumlaki.


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na viongozi mbalimbali baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Oktoba 2, 2013 akitokea London, Uingereza, alikohudhuria Mkutano wa Kimataifa wa Serikali Uwazi (Open Government Partneship Summit). 
PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment