Wadau wa shirika la kinywaji cha cocacola wakiwa kabwe stand mbeya wakati wa promotion ya soda hiyo.
baada ya kurushiwa soda waanza kung'ang'aniana na kuzua ugonvi.
vijana waki gombania soda ya bure waliyoitoa cocacola.
kazi imeiva
mmoja akiwa amezidiwa huku kashikilia soda hiyo
PICHA NA MBEYA YETU |
No comments:
Post a Comment