Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Freeman Mbowe tarehe 09/12/2013 alishiriki
kwenye kongamano la maadhimisho ya miaka 52 ya Uhuru lililoandaliwa na
Baraza la Vijana la Chama hicho (BAVICHA) katika Ukumbi wa Hotel ya
Landmark jijini Dar es Salaam.
Na hii ni sehemu ya aliyoyasema katika
hotuba yake aliyoitia katika kongamano hilo.
No comments:
Post a Comment