Social Icons

HII

WASILIANA NASI KUPITIA. E-mail: ngambabakari@gmail.com., Namba ya simu +255 657 185 504 Pia waweza kutujuza kwa lolote linalo endelea sehemu uliyopo

kachumbari

kachumbari

Saturday, December 28, 2013

MATUKIO YA PICHA LEO WAKATI WA MAZISHI YA KOCHA WA MAKIPA SIMBA JAMES KISAKA



NDUGU WA MAREHEMU JAMES KISAKA WAKILIA KWA UCHUNGU LEO WAKATI MWILI WA NDUGU YAO UKISHUSHWA NYUMBANI KWAO LUSANGA LEO TAYARI KWA MAZIKO AMBAYO YALIFANYIKA KATIKA MAKABURI YA FAMILI KIJIJI HUMO.
MMOJA WA NDUGU WA JAMES KISAKA AKILIA KWA UCHUNGU WAKATI MWILI WA NDUGU YAO ULIPOWASILI LEO













MDOGO WAKE JAMES KISAKA,BENNY KISAKA AKIUAGA MWILI WA MAREHEMU KAKA YAKE,KABLA YA KUPUMZISHWA KATIKA MAKABURI YA FAMILI WILAYANI MUHEZA MKOANI TANGA LEO

No comments:

Post a Comment