Social Icons

HII

WASILIANA NASI KUPITIA. E-mail: ngambabakari@gmail.com., Namba ya simu +255 657 185 504 Pia waweza kutujuza kwa lolote linalo endelea sehemu uliyopo

kachumbari

kachumbari

Friday, December 27, 2013

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO TAREHE 27/12/2013

WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
            TAREHE 27/12/2013.


[Mikoa ya Iringa, Katavi, Mbeya na  Rukwa]:
[Mikoa ya Morogoro ( Kusini) na Ruvuma]:


Hali ya mawingu, mvua na ngurumo katika  baadhi ya maeneo na  vipindi   vifupi  vya jua.

[Mikoa ya Kagera, Mara, Mwanza na Shinyanga]:
[Mikoa ya  Kigoma na Tabora]:
[Mikoa ya Lindi na Mtwara]:


Hali ya Mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika  maeneo machache na  vipindi  vya jua.

[Mikoa ya Dodoma na Singida]:

Hali ya Mawingu kiasi, mvua katika  maeneo machache na  vipindi  vya jua

[Mikoa ya Arusha, Manyara na Kilimanjaro]:
[Mikoa ya Dar es salaam, Pwani na Tanga]:
[Mkoa wa Morogoro (Kaskazini)]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:



Hali ya mawingu kiasi na vipindi  vya jua

VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:


MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
27°C                          
12°C               
12:25
12:39
D'SALAAM
33°C           
25°C
12:06
12:36
DODOMA
31°C
20°C
12:22
12:48
KIGOMA   
30°C
21°C
12:48
01:10
MBEYA
25°C
16°C
12:26
01:02
MWANZA
27°C
19°C
12:40
12:52
TABORA
29°C
20°C
12:36
12:58
TANGA
32°C
24°C           
12:11
12:33
ZANZIBAR
33°C           
25°C           
12:06
12:36

Upepo wa Pwani:Unatarajiwa kuvuma kutoka Kaskazini-Mashariki kwa kasi ya km 40  kwa saa kwa Pwani ya  
                                 Kaskazinna kutoka Kaskazini  kwa kasi ya km 30 saa kwa Pwani ya Kusini.

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Makubwa kiasi hadi makubwa

Matazamio kwa siku ya Jumapili: 29/12/2013Mabadiliko kidogo    

Utabiri huu umetolewa leo tarehe 27/12/2013.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.



No comments:

Post a Comment