Social Icons

HII

WASILIANA NASI KUPITIA. E-mail: ngambabakari@gmail.com., Namba ya simu +255 657 185 504 Pia waweza kutujuza kwa lolote linalo endelea sehemu uliyopo

kachumbari

kachumbari

Thursday, January 9, 2014

BASI LA ABIRIA LA MTEI LACHOMWA MOTO BAADA YA KUGONGA BODABODA NA KUUA WATU (3)

Leo asubuhi basi la abiria  la kampuni ya Mtei toka Arusha limechomwa moto na wananchi wenye hasira maeneo ya Njia panda Mnadani, mkoani Singida baada ya bus hilo kugonga pikipiki yaani bodaboda na kuua watu watatu hapo hapo. Zifuatazo ni taswira za basi hilo lililokuwa wakati na baada ya kuchomwa moto
Chanzo michuzi blog

No comments:

Post a Comment