Social Icons

HII

WASILIANA NASI KUPITIA. E-mail: ngambabakari@gmail.com., Namba ya simu +255 657 185 504 Pia waweza kutujuza kwa lolote linalo endelea sehemu uliyopo

kachumbari

kachumbari

Saturday, March 15, 2014

BASI LA HAMANJIA NA KUTUMBUKIA MTONI BAADA YA DEREVA KUSHINDWA KUPISHANA KATIKATI YA DARAJA

 Basi la kampuni ya Japanese Express linalofanya safari zake kati ya Makete - Njombe likiwa limetumbukia mtoni mpakani mwa kata ya Lupalilo na tandala wilayani Makete mkoani Njombe.
Katika ajali hii, abiria wameumia na kutibiwa katika hospitali ya Ikonda, hakuna abiria aliyefariki na kwa mujibu wa abiria waliokuwemo kwenye basi hilo wamesema chanzo cha ajali hiyo ni basi hilo kukutana na gari jingine kwenye daraja hili jembamba hivyo katika harakati za kumpisha mwenzake ili wasigongane uso kwa uso, ndipo basi hili lilipopoteza uelekeo na kutumbukia mtoni. Basi hilo lilikuwa likitokea Njombe kuja Makete mjini.
picha na Eddy Blog 

No comments:

Post a Comment