Social Icons

HII

WASILIANA NASI KUPITIA. E-mail: ngambabakari@gmail.com., Namba ya simu +255 657 185 504 Pia waweza kutujuza kwa lolote linalo endelea sehemu uliyopo

kachumbari

kachumbari

Wednesday, March 12, 2014

MH;SAMWELI SITTA AFANIKIWA KUNYAKUWA UENYEKITI WA BUNGE MAALUMU LA KATIBA


Aliekuwa Mgombea wa nafasi ya Uenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba,Mh. Samuel Sitta (pichani) ameshinda nafasi hiyo kwa kura 469 dhidi ya mpinzani wake,Mh. Hashim Rungwe katika uchaguzi uliofanyika muda mfupi uliopita. Akitoa Neno la Shukrani mara baada ya kupata nafasi hiyo,Mh. Sitta amewashurukuru Wajumbe wote wa Bunge la Katiba kwa kuweza kumpa nafasi hiyo adhimu.Pia amempongeza mpinzani wake, Mh. Hashim Rungwe kwa kukubali matokeo hayo.

No comments:

Post a Comment