Social Icons

HII

WASILIANA NASI KUPITIA. E-mail: ngambabakari@gmail.com., Namba ya simu +255 657 185 504 Pia waweza kutujuza kwa lolote linalo endelea sehemu uliyopo

kachumbari

kachumbari

Wednesday, May 21, 2014

HARD;;HATARI DEREVA BODABODA AKANYAGWA NA ROLI NA KUPASUKA TUMBO NA MIGUU KUTENGANISHWA

Mabaki ya Mguu ya Muendesha Bodaboda wa Mkoani Mwanza Akiwa amegongwa la Lori.  Ajali Hii ni mbaya sana.Ajali Hiyo imetokea mara baada ya Muendesha Pikioiki Huyo Kuendesha Bila Kufuata Sheria za Usalama barabarani na Ndipo Lori Hilo Lilompitia na Kumjeruhi Vibaya.Picha na The Best blog
 wanaotumia bodaboda wawe makini na madereva wanaowabeba,pia muwe mnawapa mashariti na juu ya speed wanazoenda nazo,kwa mfano unakuta bodaboda kakaa kijiweni hana hili wala lile,ukimchukua tu mara anaanza kukimbiza pikipiki mi huwa nawauliza unawahi wapi na wakati nimekukuta umekaa kijiweni
Watanzania wenzangu tueni makini na hivi vyombo vya usafiri maana huyu aliepata hii ajali hana tofauti kati ya mimi na wewe.Ni hayo tu nawatakia siku njema na kazi njema katika kulijenga taifa letu.

No comments:

Post a Comment