
kijana ambaye ni kibaka ameshikilia pikipiki waliyo tumia kufanyia uhalifu

kipigo kikali mtaloni na kuona haka kadaraja ni sehemu ya kujistili


vijana
wawili ambao ni vibaka wamejeruhiwa vibaya na kunusurika kifo baada ya
wananchi wenye hasira kali kuwaachia kichapo ambapo kipigo hicho
kimewafikia baada ya vijana hao kumvamia dada mmoja aliyekuwa akitokea
bank ya acces kijitonyama majira jion siku ya leo na kuweza kumpora begi dogo alilo kuwa ameweka vitu vyake
baada
ya vijana hao kufanya uharifu huo ambapo walikuwa na usafiri wa
pikipiki walianza kuondoka kwa kukimbiza pikipiki hiyo ndipo msamalia
mmoja ambaye hakuweza kufahamika jina lake aliamua kuchukua gari lake
aina ya toyota carina na kuweza kuwakimbiza na kuigonga kwa nyuma
pikipiki hiyo na vijana hao kuweza kuanguka na kukamatwa ndipo walipo
anza kuwa kugawiwa zawadi za kazi yao
hatimaye
maisha yao kuokolewa na vyombo vya usalama vilipoweza kufika na
kuwasaidia vibaka hao wakiwa hoi na kuweza kunusurika na kifo
No comments:
Post a Comment