Mtendaji wa kata ya Midizini-Manzese Bw. Penford Kizo akiwa mahali pa tukio.
KIJANA mmoja wa kiume aliyedaiwa kuwa ni mfanyabiashara ndogondogo amekutwa amefariki katika kituo cha mabasi yaendayo kasi Manzese, jijini Dar, leo asubuhi. Inasemekana vijana wengi huwa wana tabia ya kulala ndani ya vituo hivyo kwa hiyo watu iliwachukua muda mrefu kubaini kama amefariki.
Kwa mujibu wa mtendaji wa serikali wa Kata ya Midizini-Manzese, Penford Kizo na mashuhuda wengine, kifo cha kijana huyo hakijafahamika kimesababishwa na nini.
No comments:
Post a Comment