Social Icons

HII

WASILIANA NASI KUPITIA. E-mail: ngambabakari@gmail.com., Namba ya simu +255 657 185 504 Pia waweza kutujuza kwa lolote linalo endelea sehemu uliyopo

kachumbari

kachumbari

Thursday, June 12, 2014

AKAMATWA NA WANANCHI AKIMLAWITI MTOTO WA MIAKA 12

Kijana mmoja  ambaye amefahamika kwa jina moja la Ridhiwan  akutwa na wananchi  Akimlawiti mtoto mwenye umri wa miaka 12 maeneo ya PPF Njiro majira ya saa 11 jioni hii
 Tukio zaidi tazama hapa chini 
Amani Athumani aliyembaka Mtoto wa Miaka 12 muda mchache uliopita
Huyu ndiye mtoto  aliye lawitiwa mwenye umri wa Miaka (12.)
 Amani Athumani akiwa Chini ya ulinzi baada ya kukamatwa akiwa anamlawiti mtoto wa Miaka 12
 Mashuhuda wakiwa wanamshangaa kijana huyo aliyelawiti mtoto
 Wananchi  wakiwa  wamejitokeza ili kumukamata  kijana huyo...

Mpaka sasa kijana huyo yupo eneo alililo kamatwa Njiro karibu na PPF. 

Picha na Arusha yetu Blog
 

No comments:

Post a Comment