Basi la New Force Muda muda mchache baada ya kupata Ajali
Taarifa zilizotufikia Muda mchache ulio pita kutoka Igurusi mkoani mbeya nikwamba Basi la New Force lililokuwa likitokea Dar es salaam kwenda mkoani Mbeya limepata Ajali Mbaya eneo la Igurusi na kusababisha Vifo vya watu wawili vilivyo tokea papo hapo na majeruhi Arobaini ambapo kwa sasa wamekimbizwa Hospitali ili kuweza kupata msaada, Taarifa kamili na picha zinakuja endelea kufuatilia Hapa hapa
Na Mbeya Yetu
No comments:
Post a Comment