Social Icons

HII

WASILIANA NASI KUPITIA. E-mail: ngambabakari@gmail.com., Namba ya simu +255 657 185 504 Pia waweza kutujuza kwa lolote linalo endelea sehemu uliyopo

kachumbari

kachumbari

Wednesday, June 11, 2014

GARI LATUMBUKIA SHIMONI, VIJANA WAZICHAPA BAADA YA KUPEWA PESA YA MGAO

 Shimo ambalo limekuwa kero kwa watumiaji wa barabara hiyo.
 Gari  la serikali likiwa limekwama kwenye shimo hilo.
 Muonekano wa shimo ulivyo.
 Vijana wakilisukuma gari  hilo.
 Ugomvi ulivyoibuka katika kugawana fedha iliyotolewa na mwenye gari lililonasu
Baada ya gari kukwamuliwa na kujitayarisha kuondoka

No comments:

Post a Comment