Social Icons

HII

WASILIANA NASI KUPITIA. E-mail: ngambabakari@gmail.com., Namba ya simu +255 657 185 504 Pia waweza kutujuza kwa lolote linalo endelea sehemu uliyopo

kachumbari

kachumbari

Sunday, June 8, 2014

NEWZ MZEE SMALL AFARIKI DUNIA

Muigizaji mkongwe nchini, Said Ngamba maarufu kwa jina la Mzee Small amefariki dunia usiku huu akiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar. Mzee Small amefariki kwa ugonjwa wa presha baada ya kuugua kwa muda mrefu kabla ya kuzidiwa jana na kupelekwa Muhimbili. Mtoto wa marehemu aitwaye, Muhidin amethibitisha kifo cha Mzee Small.
YANAYOENDELEA KUJIRI NYUMBANI KWA MAREHEMU MZEE SMALL
Waombolezaji wakiwa na simanzi nyumbani kwa marehemu Said Ngamba 'Mzee Small' aliyefariki usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Taifa jijini Dar es Salaam.
Dada wa marehemu Mzee Small, Said Ngamba akiwa na majonzi baada ya kuondokewa na ndugu yake
 Waombolezaji wakiwa na simanzi nyumbani kwa marehemu Said Ngamba 'Mzee Small
Sauda akilia kwa uchungu
(PICHA NA SHANI RAMADHAN, GLADNESS MALLYA NA GABRIEL NG'OSHA)

No comments:

Post a Comment