
Gari la Polisi likiwa limefika eneo la Tukio kwa ajili ya usalama chuoni hapo

Mmoja wa Mawaziri wa Serikali ya Wanafunzi akizungumza jambo

Polisi wakiwa wakiwa wanaimarisha ulinzi

Wanafunzi wakiwa wanapiga Makelele kushinikiza Kulipwa pesa zao

Usalama umeimarishwa..
Endelea kufuatilia tukio zima hapa hapa.....
No comments:
Post a Comment