Social Icons

HII

WASILIANA NASI KUPITIA. E-mail: ngambabakari@gmail.com., Namba ya simu +255 657 185 504 Pia waweza kutujuza kwa lolote linalo endelea sehemu uliyopo

kachumbari

kachumbari

Tuesday, June 3, 2014

TUKIO KATIKA PICHA: MAMIA YA WATU WAJITOKEZA KUMSINDIKIZA MTOTO NARSA(MTOTO WA KWENYE BOKSI) KATIKA UWANJA WA JAMHURI MOROGORO.

 Umati wa watu uliofurika kwenye Uwanja wa Jamhuri mkoaniMorogoro kuaga mwili wa Nasra.
Wanafunzi wa Shule za Msingi Mkoani Morogoro nao walijumuika kumuaga mtoto Nasra Rashid katika Uwanja wa Jamhuri Mkoani Morogoro.

Picha na Daustan Shekidele

No comments:

Post a Comment