Social Icons

HII

WASILIANA NASI KUPITIA. E-mail: ngambabakari@gmail.com., Namba ya simu +255 657 185 504 Pia waweza kutujuza kwa lolote linalo endelea sehemu uliyopo

kachumbari

kachumbari

Friday, July 4, 2014

ADHABU KALI YAMWANGUKIA KIJANA BAADA YA BAINIKA NA FUNGUO ZA WIZI ZA DALADALA

 Kijana huyo ambaye hajajulikana jina kwa Mara moja akiwa ametundikwa katika mti baada ya kukamatwa anaiba funguo za magari katika Garage moja Soweto.
 Kijana huyo akiwa anapata shida  na mateso kwa kuwa alikuwa amebinya na kamba hizo mtini.

 Kijana huyo akiomba msaada wa kutolewa hapo na kuomba msamaha
 Kijana huyo akiendelea kuteseka 
 Hali inakuwa Mbaya zaidi
 Kijana huyo akiwa anashushwa baada ya adhabu kali

No comments:

Post a Comment