JUST IN: LIVE MUDA HUU GARI DOGO LATUMBUKIA MTARONI NJIA PANDA YA NERUKA MTONI KIJICHI
Eneo la Neruka mtoni kijichi kumetokea na ajali mida hii baada ya gari dogo kuingia mtaroni kama inavyo onekana pichani. Chanzo cha ajali hiyo hakijafahamika mpaka sasa.. tupo eneo la tukio tutawapa taarifa zaidi.
No comments:
Post a Comment