Social Icons

HII

WASILIANA NASI KUPITIA. E-mail: ngambabakari@gmail.com., Namba ya simu +255 657 185 504 Pia waweza kutujuza kwa lolote linalo endelea sehemu uliyopo

kachumbari

kachumbari

Thursday, August 28, 2014

NEWS: ALIYEKUWA MKURUGENZI WA TBS BWANA CHARLES IKEREGE AHUKUMIWA KWENDA JELA

Mahakama ya hakimu mkazi Kisutu Dar es Salaam, imemhukumu kwenda jela miaka Mitatu aliyekuwa mkurugenzi wa TBS Bwana Charles Ikerege baada ya kukutwa na hatia katika makosa yaliyokuwa yakimkabili, ikiwa ni pamoja na matumizi mabaya ya Ofisi.

No comments:

Post a Comment