NEWS TAZAMA PICHA ZA MAWE YALIYO POROMOKA NA KUUA WATU WANNE PAPO HAPO JIJINI MWANZA,
Natoa pole sana kwa ndugu waliopoteza ndugu zao wanne baada
ya mvua kunyesha kisha nyumba zao kuporomokewa na haya mawe makubwa maeneo ya
Mabatini Sinai mtaa wa Nyerere A.
No comments:
Post a Comment