Wazoa taka wakiwa kazini katika soko hilo.
WATUMIAJI wa soko la samaki la Kivukoni jijini Dar es Salaam wameulalamikia uongozi wa soko hilo kwa kukithiri kwa uchafu kila sehemu ikiwa ni pamoja na harufu kali iliyozagaa hapo.
Gari la kubebea uchafu likijaribu kupunguza taka katika baadhi ya sehemu za soko.
Mmoja wa wafanyabiashara wa samaki akionyesha samaki anaowauza.
Samaki wakiwa kwenye sehemu ya kuwatunzia.
Mmoja wa wachuuzi akiwa na mfuko wenye dagaa.
Baadhi ya biashara nyingine zinazofanywa katika eneo hilo.
Masanduku ya kutunzia samaki.
Moja ya mandhari za soko hilo.
No comments:
Post a Comment