Social Icons

HII

WASILIANA NASI KUPITIA. E-mail: ngambabakari@gmail.com., Namba ya simu +255 657 185 504 Pia waweza kutujuza kwa lolote linalo endelea sehemu uliyopo

kachumbari

kachumbari

Friday, September 12, 2014

BREAKING NEWS:MOTO WAZUKA NA KUUNGUZA SEHEMU YA MSIKITI WA MTAMBANI KINONDONI JIJINI DAR LEO

watu mbalimbali wakiwa wamepanda juu kwaajiri ya shughuli nzima ya uzimaji moto na uokoaji wa mali mbalimbali
gari la kikosi cha zima moto likiwa limewadia katika eneo la tukio na kunza kufanya kazi yake
mpira wa zima moto ukiwa unapandishwa kwaajiri ya kuweza kuuzima moto huo
Kila mmoja kwa jitihada akiwa anafanya kazi ya kuokoa
Gari la zima moto likiwa linafanya kazi ya kuzima moto huo
watu mbalimbali wakiwa wamefika ili kuweza kusaidiana katika uokozi wa mali mbalimbali za msikiti
kikosi cha usalama kikiwa katika eneo la tukio kuhakikisha ulinzi wa kutosha unapatikana
Pia ya Gari la kubebea wagonjwa likiwa limefika eneo la tukio kwa usalama zaidi


Kwa Taarifa za awali kutoka kwa Mashuhuda wanadai kwamba chanzo cha moto huo ilikuwa ni Hitirafu ya umeme...


No comments:

Post a Comment