Social Icons

HII

WASILIANA NASI KUPITIA. E-mail: ngambabakari@gmail.com., Namba ya simu +255 657 185 504 Pia waweza kutujuza kwa lolote linalo endelea sehemu uliyopo

kachumbari

kachumbari

Monday, September 29, 2014

PICHA: WANACHAMA WA CHADEMA WAFANYA MAANDAMANO ENEO LA MANZESE JIJI DAR KUPINGA BUNGE LA KATIBA


Wananchi wa Manzese ambao ni wanachama wa chama cha democrasia na maendeleo CHADEMA leo wamefanya maandamano ya kuendelea kupinga kile wanachokiita ni wizi unaoendelea ndani ya bunge maalum la katiba ikiwa ni mwendelezo wa kutimiza tamko la mkutano mkuu la chama hicho la kufanya maandamano nchi nzima kupinga mchakato huo


No comments:

Post a Comment