Social Icons

HII

WASILIANA NASI KUPITIA. E-mail: ngambabakari@gmail.com., Namba ya simu +255 657 185 504 Pia waweza kutujuza kwa lolote linalo endelea sehemu uliyopo

kachumbari

kachumbari

Monday, October 13, 2014

MWANAFUNZI CHUO CHA UHASIBU (TIA) MKOANI SINGIDA AJICHOMA KISU TUMBONI

Mwanafunzi aliefahamika kwa jina moja la Moza anayesoma mwaka wa kwanza katika chuo cha Uhasibu TIA Mkoani Singida amenusurika kufa baada ya kufanya jaribio la kutaka kujiua kwa kujichoma na kisu kushindikana, tukio hilo limetokea jana baada mwanafunzi huyo kumfumania mpenzi wake wa kiume akiwa na mwanamke mwingine.

No comments:

Post a Comment