Social Icons

HII

WASILIANA NASI KUPITIA. E-mail: ngambabakari@gmail.com., Namba ya simu +255 657 185 504 Pia waweza kutujuza kwa lolote linalo endelea sehemu uliyopo

kachumbari

kachumbari

Thursday, December 11, 2014

IDRIS SULTAN AMBAYE NI MSHINDI WA BIG BROTHER AFRICA 2014 APOKELEWA UWANJA WA NDEGE JIJINI DAR ES SALAAM KWA SHANGWE

Idris akionekana ni mwenye furaha kubwa sana baada ya kuwasili nchini.
Mama Mzazi wa Idris Sultan akijiandaa kumpokea mwanae.
Meneja Uhusiano wa Kampuni ya MultiChoice Tanzania,Barbara Kambogi (kati) akijadiliana jambo na Mshindi wa Big Brother Africa 2014,Idris Sultan pamoja na aliekuwa mshiriki wa shindano hilo,Laveda katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa J.K. Nyerere Jijini Dar es Salaam.
Mshindi wa Shindano la Big Brother Africa 2014, Idris Sultan, akizongwa na umati wa watu mashabiki wake huku akiwa na furaha baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere. Idris ameibuka kidedea na kunyakua taji hilo la Big Brother Africa 2014. Kushoto kwake ni Laveda aliekuwa mshiriki mweza wa Idris.
Mshindi wa Big Brother Africa 2014,Idris Sultan, akizungumza wakati akihojiwa na waandishi wa habari, baada ya kuwasili nchini.

No comments:

Post a Comment