Social Icons

HII

WASILIANA NASI KUPITIA. E-mail: ngambabakari@gmail.com., Namba ya simu +255 657 185 504 Pia waweza kutujuza kwa lolote linalo endelea sehemu uliyopo

kachumbari

kachumbari

Friday, December 19, 2014

LORI LA MAFUTA LAANGUKA DAR ES SALAAM LEO

Lori la mafuta likiwa limepinduka eneo la makutano ya barabara za Nyerere na Kawawa, Dar.
Kikosi cha Zima Moto kikiwa eneo la tukio.
Makamanda wa Polisi wakiwa eneo la tukio kuimarisha ulinzi.
Magari mengine yakiwa kwenye foleni katika eneo hilo.
Chanzo:GPL

No comments:

Post a Comment