Social Icons

HII

WASILIANA NASI KUPITIA. E-mail: ngambabakari@gmail.com., Namba ya simu +255 657 185 504 Pia waweza kutujuza kwa lolote linalo endelea sehemu uliyopo

kachumbari

kachumbari

Tuesday, December 2, 2014

PICHA ;MAPOKEZI YA DIAMOND PLAINUMZ AKITOKEA AFRIKA YA KUSINI KATIKA KUSHIRIKI TUZO ZA CH O

Diamond baada ya kutua kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar.
Mashabiki waliofika uwanja wa ndege kumpokea Diamond.
Diamond akipokelewa na mashabiki kwa shangwe.
MWANAMUZIKI Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' ametua nchini akitokea Afrika Kusini alipokwenda kushiriki zoezi la utoaji tuzo za Channel O ambapo alijinyakulia tuzo tatu kwa mpigo. Tuzo alizonyakua staa huyo ni pamoja na Most Gifted New Comer, Most Gifted Afropop na Most Gifted East kupitia wimbo wake wa Number One. 

No comments:

Post a Comment