Social Icons

HII

WASILIANA NASI KUPITIA. E-mail: ngambabakari@gmail.com., Namba ya simu +255 657 185 504 Pia waweza kutujuza kwa lolote linalo endelea sehemu uliyopo

kachumbari

kachumbari

Thursday, January 22, 2015

MWENYEKITI AOKOLEWA NA ASKARI KUTOKA MIKONONI MWA WANANCHI WENYE HASIRA

Askari wa Kikosi cha Kutulia Ghasia (FFU), akijaribu kumwokoa mtu aliyejulikana kwa jina la Mariano Haruna baada ya kupewa msukosuko na wananchi wenye hasira, ambaye alidaiwa kuletwa kuapishwa kinyemela kama Mwenyekiti wa Mtaa wa Kigogo Fresh Kata ya Pugu (CCM),  wakati wa zoezi la kuwapisha lililofanyika jijini Dar es Salaam.
Haruna akiondolewa katika ofisi za Manispaa ya Ilala.
Askari akilazimika kumuondoa katika ofisi za Manispaa ya Ilala ampako zoezi la kuwaapisha wenyeviti lilikuwa likiendelea
(Picha na Francis Dande)

No comments:

Post a Comment