Social Icons

HII

WASILIANA NASI KUPITIA. E-mail: ngambabakari@gmail.com., Namba ya simu +255 657 185 504 Pia waweza kutujuza kwa lolote linalo endelea sehemu uliyopo

kachumbari

kachumbari

Saturday, January 10, 2015

PICHA ZA MOTO ULIOTEKETEZA GHALA LA KUHIFADHIA RANGI USIKU WA KUAMKIA LEO DAR ES SALAAM

Kikosi cha zima moto wakiendelea na zoezi la uzimaji moto katika ghala la kuhifadhi rangi za kampuni ya Colar Paint lililopo katika Mtaa wa Kenya, Kijitonyama usiku wa kuamkia leo. Chanzo cha moto huo hakijafahamika mpaka sasa na eneo kubwa la ghala hilo limeteketea kabisa kwa moto huo hakuna mtu yeyote alieripotiwa kupoteza maisha au kujeruhiwa katika moto huo.
Sehemu ya Maduka yaliyokuwa yamezunguka nje ya ghala hilo kama yanavyoonekana, hakuna alieweza kuokoa chochote.
CHANZO: MICHUZI BLOG

No comments:

Post a Comment