Social Icons

HII

WASILIANA NASI KUPITIA. E-mail: ngambabakari@gmail.com., Namba ya simu +255 657 185 504 Pia waweza kutujuza kwa lolote linalo endelea sehemu uliyopo

kachumbari

kachumbari

Tuesday, March 24, 2015

NEWS: WATU SITA WAPOTEZA MAISHA KATIKA AJALI INAYOHUSISHA MAGARI MANNE KUGONGANA

Ajali hii imehusisha magari manne ambayo ni  busi la Super Shem lililokuwa likitokea Dar es salaam kwenda Mwanza, Land cruiser ya Halmashauri ya Wilaya ya Nzega, Canter na Mistubish. Ajali hii imetokea eneo la Undomo kata ya Uchama wilayani Nzega. Watu 9 wamejeruhiwa na watu 06 waliokuwemo kwenye Land Cruiser mali ya Serikali ya Halmashauri ya Wilaya ambao kati ya hao 05 wanne ni watumishi wa Serikali walifariki dunia papo hapo. Magari yote manne yameharibika vibaya sana, canter iligongana na mistubish na bus liligongana na land cruiser ambayo imeharibika vibaya sana, imechanika kama scrapper. 
Ajali ilitokea majira kati ya saa 3:30-4:00 usiku. Majeruhi 09 wapo hospitali ya Wilaya na maiti 05 zipo mochwari hospitali ya Wilaya(Nzega).

No comments:

Post a Comment