Social Icons

HII

WASILIANA NASI KUPITIA. E-mail: ngambabakari@gmail.com., Namba ya simu +255 657 185 504 Pia waweza kutujuza kwa lolote linalo endelea sehemu uliyopo

kachumbari

kachumbari

Thursday, May 7, 2015

PAUL MAKONDA AZUNGUMZIA MAAFIKIANO YALIYOFIKIWA KUMALIZA MGOMO WA MADEREVA NCHINI

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo mchana, kuhusu muafaka uliofikiwa kufuatia mgomo wa madereva  uliofanyika ofisi ya waziri mkuu kwa kuwashirikisha wadau mbalimbali.
Wanahabari wakisubiri kuchukua taarifa hiyo.

Na Dotto Mwaibale

No comments:

Post a Comment