







Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
akimpokea Mgombea Mwenza wa Urais Mh. Samia Suluhu kupitia Chama hicho
katika ofisi ndogo ya CCM Lumumba baada ya kuchukua Fomu ya Kugombea Urais katika Ofisi za NEC Leo.

Baadhi ya Viongozi wa CCM wakiwa katika Sherehe hizo za Mapokezi

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Kinana akiongea na Wananchi

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Dkt. Jakaya Kikwete akiongea na wanachama

Mgombea Mwenza wa Urais kupitia Chama cha Mapinduzi Mh. Samia Suluhu akiongea na Wanachama

Mgombea wa Urais kupitia Chama cha Mapinduzi Dkt. Magufuli (wa kwanza kushoto) akisalimiana na baadhi ya wanachama

Wakionesha Fomu

Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dkt John Pombe Magufuli na
Mgombea Mwenza Mhe Samia Suluhu Hassan na wakilakiwa na Mwenyekiti wa
CCM Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na viongozi wengine akipokewa katika ofisi
ndogo ya CCM Mtaa wa Lumumba jijini Dar es salaam baada ya kutoka Tume
ya Uchaguzi kuchukua Fomu za kugombea Urais leo agosti 4, 2015.
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment