Social Icons

HII

WASILIANA NASI KUPITIA. E-mail: ngambabakari@gmail.com., Namba ya simu +255 657 185 504 Pia waweza kutujuza kwa lolote linalo endelea sehemu uliyopo

kachumbari

kachumbari

Friday, October 30, 2015

NEWS: NEC YAMTANGAZA DK. JOHN POMBE MAGUFULI KUWA RAIS MTEULE WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Jaji Damian Lubuva amtangaza Dk. John Pombe Magufuli kuwa mshindi wa kiti cha urais baada ya kushinda uchaguzi mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania uliofanyika Oktoba 25 mwaka huu nchini kote na kumshinda mpinzania wake mkuu Ndugu Edwarld Lowasa aliyekuwa anagombea kwa tiketi ya Chadema kupitia muungano wa vyama vinne vya upinzani UKAWA, Dk John Pombe Magufuli ameshinda kwa kura 8.882.935 sawa na asilimia 58.46 huku Edwarld Lowasa akipata kura 6.072.848 sawa na asilimia 39.97.

No comments:

Post a Comment