Social Icons

HII

WASILIANA NASI KUPITIA. E-mail: ngambabakari@gmail.com., Namba ya simu +255 657 185 504 Pia waweza kutujuza kwa lolote linalo endelea sehemu uliyopo

kachumbari

kachumbari

Friday, February 19, 2016

RAIS MAGUFULI AKUTANA NA BAADHI YA MAKUNDI YALIYOSHIRIKI NAYE KWENYE KAMPENI YA UCHAGUZI MKUU MWAKA 2015

 Rais John Pombe Joseph Magufuli akiongea na baadhi ya makundi yaliyoshiriki naye kwenye kampeni ya uchaguzi mkuu mwaka 2015 aliowaita kuwashukuru Ikulu jijini Dar es salaam  Alhamisi February 18, 2016.
Rais John Pombe Joseph Magufuli katika picha ya pamoja na kundi la sanaa la Tanzania One Theatre baada ya kuongea na baadhi ya makundi yaliyoshiriki naye kwenye kampeni ya uchaguzi mkuu mwaka 2015 aliowaita kuwashukuru Ikulu jijini Dar es salaam Alhamisi February 18, 2016
Rais John Pombe Joseph Magufuli katika picha ya pamoja na wataalamu wa TEHAMA baada ya  kuongea  na baadhi ya makundi yaliyoshiriki naye kwenye kampeni ya uchaguzi mkuu mwaka 2015 aliowaita kuwashukuru Ikulu jijini Dar es salaam Alhamisi February 18, 2016
Rais John Pombe Joseph Magufuli katika picha ya pamoja na wasanii wa Bongo Fleva  baada ya  kuongea  na baadhi ya makundi yaliyoshiriki naye kwenye kampeni ya uchaguzi mkuu mwaka 2015 aliowaita kuwashukuru Ikulu jijini Dar es salaam  Alhamisi February 18, 2016.
Rais John Pombe Joseph Magufuli katika picha ya pamoja na wasanii wa Bongo Movie   baada ya  kuongea  na baadhi ya makundi yaliyoshiriki naye kwenye kampeni ya uchaguzi mkuu mwaka 2015 aliowaita kuwashukuru Ikulu jijini Dar es salaam  Alhamisi February 18, 2016.
Rais John Pombe Joseph Magufuli katika picha ya pamoja na sehemu ya wanahabari  aliokuwa nao katika kampeni baada ya kuongea  na baadhi ya makundi yaliyoshiriki naye kwenye kampeni ya uchaguzi mkuu mwaka 2015 aliowaita kuwashukuru Ikulu jijini Dar es salaam  Alhamisi February 18, 2016
Rais John Pombe Joseph Magufuli katika picha ya pamoja na watendaji kutoka CCM Makao Makuu  baada ya  kuongea  na baadhi ya makundi yaliyoshiriki naye kwenye kampeni ya uchaguzi mkuu mwaka 2015 aliowaita kuwashukuru Ikulu jijini Dar es salaam Alhamisi February 18, 2016.
PICHA NA IKULU.

No comments:

Post a Comment