Social Icons

HII

WASILIANA NASI KUPITIA. E-mail: ngambabakari@gmail.com., Namba ya simu +255 657 185 504 Pia waweza kutujuza kwa lolote linalo endelea sehemu uliyopo

kachumbari

kachumbari

Monday, July 4, 2016

RAIS DKT.MAGUFULIA AMETUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KWA FAMILIA 29 WALIOPOTEZA MAISHA KATIKA AJALI YA BARABARANI.

 
 Baadhi ya wananchi wakisaidia kuokoa watu waliopata ajali katika ajali  iliyohusisha mabasi mawili ya abiria, ambayo imetokea katika eneo la Manyoni Mkoani Singida na kupelekea vifo vya abiria papo hapo na wengine kadhaa kujeruhiwa katika eneo la Kijiji cha Maweni kilichopo Tarafa ya Kintinku wilayani Manyoni Mkoani Singida leo.

No comments:

Post a Comment