Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii, Meja Jenerali Gaudence 
Milanzi (katikati), akikata  utepe wakati wa uzinduzi rasmi wa Ofisi ya 
Tanapa jijini Dar es Salaam. Wa pili kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa 
Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA), Allan Kijazi.
Katibu
 Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii, Meja Jenerali Gaudence Milanzi 
(katikati), akikata  utepe wakati wa uzinduzi rasmi wa Ofisi ya Tanapa 
jijini Dar es Salaam. 
Katibu
 Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii, Meja Jenerali Gaudence Milanzi 
akiangalia ofisi mpya ya TANAPA iliyopo jijini Dar es Salaam. Kushoto ni
 Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA), Allan
 Kijazi. 
Kuangalia ofisi.
Jengo la Ofisi za TANAPA zilizopo Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment