Social Icons

HII

WASILIANA NASI KUPITIA. E-mail: ngambabakari@gmail.com., Namba ya simu +255 657 185 504 Pia waweza kutujuza kwa lolote linalo endelea sehemu uliyopo

kachumbari

kachumbari

Tuesday, September 26, 2017

JE UNATAMANI KULIMA KILIMO BIASHARA BILA KUJALI NI ZAO GANI?

Je unatamani kulima kilimo biashara bila kujali ni zao gani?

Je ardhi yako imekosa rutuba na kushindwa kuleta matokeo chanya katika kilimo?
Je umekosa soko la mazao yako kwa ajili ya mazao hayo kukosa ubora? Je unatamani kilimo kiwe ajira kwako inayokupa fedha za kutosha ?
Je umekuwa ukilima na kukosa matokeo mazuri kwa kukosa mfuatiliaji wa mazao yako ?
Je ulitamani kulima kiangazi na upate mazao ya kutosha?
Kwa hayo na kupata masoko ya matunda kama papai,na nanasi
kutana nasi tutakusimamia mazao yako na kuhakikisha umepata Mara 2 - 3 ya mategemeo yako kwa kutumia kirutubisho chetu cha asili nitafute 0718542408
Follow us @healthy_crops @ Dar es Salaam, Tanzania

No comments:

Post a Comment