Social Icons

HII

WASILIANA NASI KUPITIA. E-mail: ngambabakari@gmail.com., Namba ya simu +255 657 185 504 Pia waweza kutujuza kwa lolote linalo endelea sehemu uliyopo

kachumbari

kachumbari

Monday, December 24, 2012

ZAIDI YA ABIRIA WAPONA KUFARIKI KATIKA AJALI YA BASI LA NEW FORCE NA FUSO KATIKA ENEO LA INYALA PIPE LINE MBEYA ...


Zaidi ya  abiria 40 waliokuwemo kwenye basi la New Force wamepona kufariki baada ya  basi walilokuwa wakisafiria kugongana na rili aina ya fuso maeneo ya   Inyalabasi la new force lilikuwa linatokea mkoani Mbeya kuelekea Dar es salaam 

Hili roli aina ya fuso ndilo lililosababisha ajali hiyo kwani lilikuwa lilikuwalinalipita gari lingine bila ya kuangalia kama gari nyingine inashuka mlima na ndipo lilipokutana na basi hilo
Hii ndiyo hali halisi ya ajali hiyo dreva wa fuso kakimbia baada ya kusababisha ajali hiyo
baadhi ya majeruhi wakiwa wameruhusiwa baada ya kupatiwa matibabu,

Kaimu Mkurugenzi wa Hospitali ya Rufani ya Mbeya, Dk. Hamfrey Kiwelu, aliyesimama amesema wamepokea majeruhi 24 na kati ya hao 17 wameruhusiwa baada ya kupata matibabu na majeruhi 7 wamelazwa hospitalini hapo kuendelea na matibabu .


No comments:

Post a Comment