Social Icons

HII

WASILIANA NASI KUPITIA. E-mail: ngambabakari@gmail.com., Namba ya simu +255 657 185 504 Pia waweza kutujuza kwa lolote linalo endelea sehemu uliyopo

kachumbari

kachumbari

Tuesday, October 15, 2013

PICHA ZA MSANII PHARRELL WILLIAMS ALIPOFUNGA NDOA


Msanii na Producer Pharrell Williams amefunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu Helen Lasichanh na kufanya sherehe ndogo kwenye boti huko Miami, Florida. Wapenzi hao wamechagua boti lililoitwa "Never Say Never" na Kwenye sherehe yao wasanii wakubwa kama Busta Ryhmes, Justin Timberlake, Usher na Robin Thicke walikuwepo.

Fahamu kuwa Pharrell Williams na Helen Lasichanh wamekuwa na mahusiano kwa muda mrefu sana na zao lake ni mtoto wa kiume mwenye miaka 4 'Rocket


No comments:

Post a Comment