Social Icons

HII

WASILIANA NASI KUPITIA. E-mail: ngambabakari@gmail.com., Namba ya simu +255 657 185 504 Pia waweza kutujuza kwa lolote linalo endelea sehemu uliyopo

kachumbari

kachumbari

Tuesday, October 15, 2013

TASWIRA YA MAONESHO YA UZINDUZI WA MKOA MPYA WA NJOMBE HAPO OKTOBA 18 MWAKA HUU.







Na Sunday Bavuga   Njombe

Wananchi Mkoani Njombe Wametakiwa Kujitokeza Kwa Wingi Kwenye Maonyesho ya Uzinduzi wa Mkoa wa Njombe Yanayoendelea Katika Uwanja wa Sabasaba Mjini Njombe.

Wakiongea Kwa Nyakati Tofauti Baadhi ya Washiriki wa Maonyesho Hayo Wamesema Bado Mwamko wa Wananchi Kufika Kwenye Maonyesho Hayo ni Mdogo .

Aidha Washiriki Hao Wamewataka Wananchi wa Mkoa wa Njombe na Mikoa ya Jirani Kufika Kwenye Maonyesho Hayo Ili Kujipatia Bidhaa Mbalimbali Zinazotengenezwa na Watanzania Wakiwemo 

Wajasiriamali.

Maonyesho Hayo Yameanza Oktoba 11 Mwaka Huu na Kilele Chake Itakuwa Oktoba 18 Mwaka 2013 Siku Ambayo Itakuwa ya Uzinduzi Rasmi wa Mkoa wa Njombe Ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete Anatarajiwa Kuwa Mgeni Rasmi.

No comments:

Post a Comment