Gari lenye namba za usajili T606 BJB lilolokuwa
likifanya safari zake Ifunda hadi Stand kuu ya Iringa limepata ajali eneo la Kitwiru baada ya kugongana na
Lori lenye namba T 234 CLU ambalo ni Mali ya T.H Clements & Son LTD , Ajali hii ilitokea baada ya Dereva wa basi hilo la abiria alipojaribu kulipita Lori hilo bila
mafanikio na watu watatu wamejeruhiwa katika ajali hiyo. (Picha na Said Ng'amilo)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment