Social Icons

HII

WASILIANA NASI KUPITIA. E-mail: ngambabakari@gmail.com., Namba ya simu +255 657 185 504 Pia waweza kutujuza kwa lolote linalo endelea sehemu uliyopo

kachumbari

kachumbari

Wednesday, December 18, 2013

PICHA MBALIMBALI ZA TUKIO LA NDEGE ILIYO POTEZA MUELEKEONAKUTUA KATIKA UWANJA WA ARUSHA...

Watu 200 waliokuwa wakisafiri kwa ndege ya Ethiopian Airline wanusurika kufa baada ya ndege kupitiliza hadi nje ya uwanja mdogo wa ndege wa Arusha baada ya kutua kwa dharura.

Ndege aina ya Boeing 767 inayosadikiwa kuwa ni ya Shirika la Ndege la Ethiopia imetua kwa dharura majira ya saa tisa alasiri katika kiwanja cha kurushia ndege ndogo cha Arusha badala ya kiwanja cha ndege cha Kimataifa cha Kilimanjaro, KIA.
Baadhi ya wakazi wa mji wa Arusha wakiwa wanashuhudia tukio la ndege kupoteza muelekeo na kutua uwanja wa Arusha leo
Tail la ndege hiyo likiwa limeingia ndani ya ardhi(limechimba uwanja)

No comments:

Post a Comment